久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kituo cha usambazaji kilichojengwa na China chazinduliwa nchini Ethiopia kuhimza biashara ya mtandaoni (6)

(CRI Online) Machi 01, 2024
Kituo cha usambazaji kilichojengwa na China chazinduliwa nchini Ethiopia kuhimza biashara ya mtandaoni
Wafanyakazi wakihamisha bidhaa nje ya Kituo cha usambazaji cha biashara ya mtandaoni huko Addis Ababa, Ethiopia tarehe 29, Februari, 2024. (Picha/Xinhua)

Shirika la ndege la Ethiopia limezindua kituo kipya cha usambazaji wa biashara ya mtandaoni mjini Addis Ababa, ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya wanunuzi na wauzaji reja reja mtandaoni.

Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi iliyofanyika jana Alhamisi waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Ethiopia Alemu Sime, amesema kituo hicho kinalenga kurahisisha utendaji na usimamizi kabla ya bidhaa kutumwa kwa wateja. Kituo hicho kilichojengwa na kampuni ya China, kina eneo la takriban mita za mraba 15,000 na kina uwezo wa kushughulikia tani laki 1.5 za bidhaa kwa mwaka.

Ofisa Mkuu mtendaji wa Shirika la Ndege la Ethiopia Bw. Mesfin Tasew amesema kuzinduliwa kwa kituo hicho baada ya ujenzi wa miaka miwili, kunathibitisha kujitolea kwa shirika hilo la ndege kuendana na ubunifu na teknolojia zinazoibukia, na kuimarisha utoaji wa huduma zake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>