Lugha Nyingine
Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi lafunguliwa kwenye Ziwa Qinhu huko Taizhou, China (3)
Tarehe 27 mwezi huu, Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi la Ziwa Qinhu lilifunguliwa kwenye ziwa hilo lililoko katika Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou, Mkoa wa Jiangsu wa China. Burudani za kijadi na maonyesho ya desturi za uvuvi wa kijadi na shughuli nyingine mbalimbali zilifanyika pia hapo hapo, na “Samaki Mfalme wa Ziwa Qinhu” aliteuliwa na kutangazwa rasmi.
Wakati mwaka mpya wa jadi wa China unapokaribia, Ziwa Qinhu limeingia kwenye msimu wa uvuvi wa majira ya baridi, na wavuvi wanafanya uvuvi kwa juhudi ili kukidhi mahitaji ya soko wakati wa sikukuu.
(Picha na Tang Dehong/Zilichapishwa na Xinhua)
Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China
Ndege mtilili mwenye koo nyeupe aonekana katika bustani ya Mji wa Xiamen, Kusini Mashariki mwa China
Katika Picha: Maonyesho ya taa za kijadi ya bustani ya Yuyuan mjini Shanghai, China
Watu washerehekea Sikukuu ya Timket huko Addis Ababa, Ethiopia
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma