久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi lafunguliwa kwenye Ziwa Qinhu huko Taizhou, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi lafunguliwa kwenye Ziwa Qinhu huko Taizhou, China
Wavuvi wakifanya uvuvi wa majira ya baridi kwenye Ziwa Qinhu tarehe 27, Januri.

Tarehe 27 mwezi huu, Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi la Ziwa Qinhu lilifunguliwa kwenye ziwa hilo lililoko katika Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou, Mkoa wa Jiangsu wa China. Burudani za kijadi na maonyesho ya desturi za uvuvi wa kijadi na shughuli nyingine mbalimbali zilifanyika pia hapo hapo, na “Samaki Mfalme wa Ziwa Qinhu” aliteuliwa na kutangazwa rasmi.

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China unapokaribia, Ziwa Qinhu limeingia kwenye msimu wa uvuvi wa majira ya baridi, na wavuvi wanafanya uvuvi kwa juhudi ili kukidhi mahitaji ya soko wakati wa sikukuu.

(Picha na Tang Dehong/Zilichapishwa na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>