久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Sanaa ya maigizo ya karagosi yenye historia ya miaka 2,000 yakaribisha mwaka mpya huko Shandong, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2024
Sanaa ya maigizo ya karagosi yenye historia ya miaka 2,000 yakaribisha mwaka mpya huko Shandong, China

Mwaka mpya kwa kalenda ya kilimo ya China umekaribia. Jiang Yutao, ambaye ni mrithi wa kizazi cha tano wa sanaa ya “Maigizo ya Karagosi ya Laixi” katika Wilaya ya Laixi, Mkoa wa Shandong, China ameongoza kundi lake la wasanii kuandaa na kupanga maigizo, ili kuonesha kwa umma maigizo mapya ya karagosi kwa wakazi wa huko wakati wa mwaka mpya.

Sanaa ya karagosi ya Wilaya ya Laixi ina historia ya zaidi ya miaka 2,000. Kwa kuendana na sifa za nyakati na mahitaji ya umma, Jiang ameboresha mchakato wa utengenezaji wa karagosi, akabuni maigizo mapya na kuingiza mambo mengine kama vile hekaya, katuni na hadithi za kichimbakazi, ili kuufanya uwasilishaji wa maigizo ya karagosi kuwa na maana zaidi katika maisha ya hivi sasa, na kupendwa na vijana. (Picha na Zhang Jingang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>