久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Pilikapilika ya ujenzi wa paneli za kuzalisha?umeme kwa jua katika Jangwa la Tengger huko Zhongwei, Ningxia, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2023
Pilikapilika ya ujenzi wa paneli za kuzalisha?umeme kwa jua katika Jangwa la Tengger huko Zhongwei, Ningxia, China
Wafanyakazi wakifanya kazi kwa bidii kujenga awamu ya pili ya mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua wa Zhongwei wenye uwezo wa kilowati milioni 3 katika Kituo cha Nishati Mpya cha Jangwa la Tengger katika Mkoa wa Ningxia, China, Desemba 9, 2023.

Kwa mujibu ripoti za habari, Mradi wa Kituo cha Nishati Mpya cha Jangwa la Tengger wa Mkoa wa Ningxia nchini China ni kituo cha nishati mpya chenye uwezo wa kuzalisha umeme wenye uwezo wa kilowati makumi ya mamilioni jangwani na Kituo cha Nishati Mpya cha Gobi kilichopangwa na kujengwa na serikali ya China. Pia ni kituo cha kwanza cha China cha kupitisha umeme wenye nguvu ya juu zaidi kinachojikita katika kuzalisha umeme kwa jua katika jangwa kubwa na kusafirisha nishati mpya. Awamu ya pili ya mradi huo ulioanza wakati huu uko kwenye ukingo wa kusini mashariki mwa Jangwa la Tengger, na ukubwa wa eneo lake ni takriban hekta 4000.

Baada ya mradi huo kukamilika na kuunganishwa kwenye gridi ya taifa ya China, utaweza kuzalisha umeme wenye uwezo wa kilowati bilioni 3.96 kwa saa kila mwaka, kuokoa makaa ya mawe ya kawaida yenye uzito wa tani milioni 1.207, na kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni kwa uzito wa tani takriban milioni 3.2938. Ni muhimu sana katika kuwezesha ujenzi wa mfumo wa nishati iliyo safi, yenye kutoa kaboni chache, salama na fanisi. (Picha na Yuan Hongyan /Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>