Lugha Nyingine
Katika picha: Bandari ya Luoyu katika Ghuba ya Meizhou mkoani Fujian, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 29, 2023 ikionyesha treni ya muundo wa kupita kwenye reli na bahari inayotumia kwa kusafirisha madini ya chuma katika eneo la uendeshaji la Luoyu katika Ghuba ya Meizhou iliyoko Mji wa Putian, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
Bandari ni sehemu muhimu ya shughuli za kiuchumi katika mkoa wa pwani wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, mkoa ambao ni kiini katika ujenzi wa Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Mkoa huo wa Fujian umeshuhudia kuongezeka kwa uwezo wake katika kuhudumia Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma