Lugha Nyingine
Katika picha: Bandari ya Luoyu katika Ghuba ya Meizhou mkoani Fujian, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Bandari ni sehemu muhimu ya shughuli za kiuchumi katika mkoa wa pwani wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, mkoa ambao ni kiini katika ujenzi wa Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Mkoa huo wa Fujian umeshuhudia kuongezeka kwa uwezo wake katika kuhudumia Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma