Lugha Nyingine
Kivuko cha Alataw mkoani Xinjiang, China chashughulikia treni zaidi ya 30,000 za kwenda Asia ya Kati au Ulaya (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Picha hii iliyopigwa Oktoba 29, 2023 ikionyesha treni za mizigo zikisubiri kuondoka kwenye Kivuko cha Alataw kilichoko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Zhao Chenjie) |
Kikiwa kimejengwa kwenye Eneo linalojiendesha ya Kabila la Wamongolia la Bortala katika Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China Xinjiang, Kivuko cha Alataw kinapakana na Nchi ya Kazakhstan. Tangu Mwaka 2011 wakati treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ilipopitia hapo, kivuko hicho kimeshughulikia treni zaidi ya 30,000 zinazoelekea Asia ya Kati au Ulaya.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma