久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kivuko cha Alataw mkoani Xinjiang, China chashughulikia treni zaidi ya 30,000 za kwenda Asia ya Kati au Ulaya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Kivuko cha Alataw mkoani Xinjiang, China chashughulikia treni zaidi ya 30,000 za kwenda Asia ya Kati au Ulaya
Picha hii iliyopigwa Novemba 4, 2023 ikionyesha karakana ya kampuni ya mabomba ya mafuta na gesi kwenye Kivuko cha Alataw kilichoko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Zhao Chenjie)

Kikiwa kimejengwa kwenye Eneo linalojiendesha ya Kabila la Wamongolia la Bortala katika Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China Xinjiang, Kivuko cha Alataw kinapakana na Nchi ya Kazakhstan. Tangu Mwaka 2011 wakati treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ilipopitia hapo, kivuko hicho kimeshughulikia treni zaidi ya 30,000 zinazoelekea Asia ya Kati au Ulaya.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>