Lugha Nyingine
Wilaya ya Longxi,Mkoa wa Gansu,China:Watu wachuma maua ya marashi motomoto (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2023
Wakulima wakichuma maua ya marashi katika Kijiji cha Hejiachuan kilichoko Wilaya ya Longxi katika Mji wa Dingxi, Mkoa wa Gansu, China, Septemba 4.
Mwanzoni mwa majira ya vuli, ekari 4,000 zenye kupandwa maua ya marashi ziliingia kwenye msimu wa kuchumwa katika Wilaya ya Longxi iliyoko Mji wa Dingxi katika Mkoa wa Gansu, China. Wakulima walitumia fursa ya hali nzuri ya hewa kuyachuma, kuyapakia, na kuyauza, na mashambani kulikuwa na pilikapilika nyingi.(Xinhua / Wang Kexian)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma