久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kampuni za dawa na vifaa tiba za China zapanua?soko barani Afrika na Mashariki ya Kati (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2023
Kampuni za dawa na vifaa tiba za China zapanua?soko barani Afrika na Mashariki ya Kati
Watu wakitembelea Maonyesho ya Pharmaconex Mwaka 2023 mjini Cairo, Misri, Septemba 3, 2023. (Xinhua/Ahmed Gomaa)

CAIRO - Makumi ya kampuni za dawa na vifaa tiba za China zimeshiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Pharmaconex Mwaka 2023 yanayoendelea katika mji mkuu wa Misri, Cairo, ili kutafuta fursa za biashara nchini Misri na maeneo mengine ya Afrika na Mashariki ya Kati.

Maonyesho hayo ya siku tatu yaliyoanza Jumapili, yamejumuisha kampuni za dawa na vifaa tiba kutoka nchi za Misri, China, India, Marekani, Italia, Ufaransa, Ubelgiji, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, kwa mujibu wa mratibu wake.

Jiang Min, Meneja Mkuu wa Mauzo kutoka Kampuni ya Dawa na Vifaa Tiba ya Luohe Chief, ambayo ni mzalishaji na muuzaji wa mseto hai wa dawa (API) yenye makao yake makuu mkoani Henan, Katikati mwa China, amesema kampuni yake inataka kutangaza bidhaa zake nchini Misri na maeneo mengine ya Mashariki ya Kati na anatumai kujenga uhusiano na wenzao wa Misri kupitia maonyesho hayo, ambayo yanafadhiliwa na Wizara ya Biashara na Viwanda ya Misri.

"Soko la Misri ni geni kwetu na hii ni mara yatu ya kwanza kushiriki katika maonyesho ya Pharmaconex hapa Cairo, hivyo tunatumai itakuwa fursa ya kukutana na wateja na washirika watarajiwa," amesema Jiang.

"Hatutaki tu kupata fursa za biashara hapa, pia tunataka kupata marafiki wazuri katika soko la Misri," ameongeza.

Fang Zhenrong, Mwenyekiti wa Kampuni ya Dawa na Vifaa Tiba ya China Coben, amesema kampuni yake inatafuta upanuzi katika soko la Misri kwa sababu ya eneo la kimkakati la Misri ambalo ni mlango wa Afrika na Mashariki ya Kati.

"Soko linakua kwa kasi sana katika miaka ya hivi karibuni, na ninatumai tutakuwa na mustakabali mwema hapa," amesema, akimaanisha soko la dawa na vifaa tiba barani Afrika na Mashariki ya Kati.

Fang anatarajia kuongezeka kwa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni za China na Misri kwani nchi hizo mbili zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja.

Watembeleaji wengi wa maonyesho hayo, wakiwemo wafamasia na wafanyabiashara, wanatembelea mabanda ya kampuni za dawa na vifaa tiba za China.

Katika banda la Kampuni ya Dawa na Vifaa Tiba ya Zhejiang Guobang, Abdel-Hamid Aboul-Ela, Afisa Mkuu wa Fedha wa kampuni ya Dawa na Vifaa Tiba ya Harvest ya Misri, alikuwa na mazungumzo na meneja mauzo wa China.

"Tuna biashara nyingi na kampuni ya Dawa na Vifaa Tiba ya Guobang, ambayo ni moja ya wazalishaji wakubwa wa API wa China. China ni mshirika mkubwa wa Misri katika sekta ya dawa, iwe kwa nyenzo au mashine," amesema mfanyabiashara huyo wa Misri.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>