Sherehe ya mavuno yafanyika kwenye mashamba ya mpunga huko Xinglong, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China (5)
|
Picha hii ya angani iliyopigwa tarehe 2 Septemba, 2023 ikionyesha wanakijiji wakishiriki kwenye mashindano ya mavuno ya mpunga katika Kijiji cha Xinglong, Wilaya ya Yanbian, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China. Sherehe ya mavuno imefanyika kwenye mashamba ya mpunga katika Kijiji cha Xinglong, Wilaya ya Yanbian, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China, ambapo wanakijiji na watalii wameshiriki katika mashindano ya mavuno ya mpunga, tamasha, soko, na karamu kubwa ya kwenye meza ndefu shambani. (Xinhua/Jiang Hongjing) |
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)