久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Eneo la Viwanda la Shougang la Beijing China, na lile la Ruhr nchini Ujerumani yashuhudia mchakato wa maendeleo ya ustaarabu wa binadamu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2023
Eneo la Viwanda la Shougang la Beijing China, na lile la Ruhr nchini Ujerumani yashuhudia mchakato wa maendeleo ya ustaarabu wa binadamu
Picha hii iliyopigwa Agosti 23, 2023 ikionyesha mandhari katika Eneo maalum la Viwanda la Shougang lililoko katika Eneo la Shijingshan la Beijing, China. (Xinhua/Ren Chao)

Kuanzia eneo la Ruhr nchini Ujerumani hadi eneo maalum la viwanda la Shougang hapa Beijing, China, viwanda "vikubwa" kimoja baada ya kingine vinasimama kama mashahidi wa mchakato wa maendeleo ya ustaarabu wa binadamu.

Eneo la Ruhr nchini Ujerumani ni eneo muhimu la viwanda barani Ulaya, ambalo hapo awali lilikuwa kituo cha uzalishaji wa makaa ya mawe na chuma nchini Ujerumani. Eneo la viwanda la mgodi wa makaa ya mawe wa Zollverein huko Essen lilikuwa mojawapo ya migodi mikubwa zaidi ya makaa ya mawe duniani kutoka mwishoni mwa Karne ya 19 hadi mwanzoni mwa Karne ya 20. Baada ya Ujerumani kubadilisha muundo wa viwanda vya nishati, eneo la viwanda la mgodi wa makaa ya mawe wa Zollverein lilisimamisha kabisa uendeshaji wake Mwaka 1993. Muundo huu wa mfano wa kisasa wa kiviwanda ulibadilishwa baadaye kuwa kituo cha sanaa na utamaduni. Mwaka 2001, eneo hili liliorodheshwa kuwa Eneo la Mali ya Urithi ya Dunia wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).

Ikiwa ilianzishwa Mwaka 1919 Shougang ambayo kwa Lugha ya Kichina inamaanisha "Kiwanda cha Chuma cha Mji Mkuu", ni kielelezo cha historia ya viwanda vya China. Shougang imehamishwa hadi Hebei, mkoa wa jirani wa Beijing ambapo makampuni ya chuma yamejenga viwanda vya uzalishaji wa chuma bila kutoa uchafuzi kwa mazingira. Mwaka 2018, Eneo maalum la viwanda la Shougang, ambalo ni eneo la vinu na viwanda vya chuma lililogeuzwa kuwa eneo la michezo na utamaduni, lilijumuishwa katika kundi la kwanza la orodha ya ulinzi wa mali ya urithi wa viwanda nchini China. Na pia limekuwa likitumika kama moja ya kumbi kwa Maonyesho ya Kimataifa ya China ya Biashara ya Huduma.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>