Lugha Nyingine
Mradi wa kuzalisha?umeme kwa upepo wa De Aar nchini Afrika Kusini wapunguza utoaji wa hewa ya kaboni (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2023
Fundi Deswin akipanga zana za matengenezo kwenye mradi wa kuzalisha umeme kwa upepo wa De Aar huko De Aar, Afrika Kusini, Julai 25, 2023. (Picha na Yeshiel Panchia/Xinhua) |
Uwezo uliowekwa wa mradi wa kuzalisha umeme kwa upepo wa De Aar uliowekezwa na kampuni ya Longyuan Power ya China na wabia wake wa Afrika Kusini ni megawati 244.5 (MW), ambazo zinaweza kutoa nishati safi ya takriban gigawati 760 (GWh) kila mwaka, sawa na kuokoa zaidi ya tani 200,000 za makaa ya mawe, kupunguza utoaji wa kaboni kwa tani 700,000.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma