Lugha Nyingine
Picha: Alama kama mishipa kwenye kando ya Mto Huanghe huko Henan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2023
Hivi karibuni, kutokana na kukamilika kwa uchepushaji wa maji na udhibiti wa mchanga kwenye Mto Huanghe, kiasi cha maji cha mto huo kimeshuka kwenye sehemu ya mradi hatari wa Heigangkou wa Mji wa Kaifeng wa Mkoa wa Henan wa China. Baada ya kusombwa na mtiririko wa maji, kando ya mto huo inaonesha alama kama mishipa ya kutiririsha damu mwilini. (Picha imechapishwa na Xinhua na kupigwa na Shi Fei.)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Onyesho la mitindo ya mavazi lafanyika kando ya Tamasha la 6 la Kimataifa la Dansi la China Xinjiang
Zaidi ya wasanii 1,000 waleta sanaa ya kale kwenye tamasha la dansi la Xinjiang
Sarakasi za kijadi zang'ara katika Mji wa Wuqiao, mkoani Hubei, Kaskazini mwa China
Mji wa Qingzhen wa China: Mandhari Nzuri ya Milima na Maziwa Yaonekana wazi
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma