Lugha Nyingine
Habari?Picha: Safari isiyoweza kusahaulika ya mcheza dansi wa Russia katika Mkoa wa Xinjiang, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2023
Sofia Maksimovna Efremenko (kati) na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja kwenye jumba la maonyesho ya sanaa huko Urumqi, Mji Mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa kabila la wauygur wa Xinjiang ulioko Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 21, 2023. (Xinhua/Hu Huhu) |
"Hii ni safari isiyoweza kusahaulika ya maajabu ya Xinjiang!" Amesema Sofia, ambaye ni mchezaji dansi kijana wa Russia ambaye amefurahia kwa wiki moja hapa.
Akiwa ni mmoja wa kikundi cha kuimba na kucheza dansi cha "Zorenka" kutoka Mji wa Balashov katika Jimbo la Saratov la Russia, Sofia pamoja na wenzake zaidi ya 1,000 kutoka Asia, Ulaya na Afrika kushiriki kwenye Tamasha la 6 la Kimataifa la Dansi la China Xinjiang linaloendelea kufanyika kati ya Julai 20 hadi Agosti 5.
Licha ya kufanya maonyesho jukwaani, Sofia na wenzake wametembelea maeneo ya kuvutia katika Mji wa Urumqi kwa ajili ya kuhisi kwa kina utamaduni wa China, hasa mila za Xinjiang. "Hakika nitakuja tena."
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma