Lugha Nyingine
Tamthilia ya dansi ya Afrika Kusini ya "Roho ya Ubuntu" yaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Tamasha la 6 la Kimataifa la Dansi la China Xinjiang (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2023
Usiku wa Julai 24, tamthilia ya dansi ya "Roho ya Ubuntu" iliyoletwa na Kikundi cha Sanaa cha Dansi cha Elvis cha Afrika Kusini ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Ukumbi wa Sanaa za Jukwaani wa Umma wa Xinjiang. Tamthilia ya "Roho ya Ubuntu" imejikita kwenye utamaduni wa kijadi wa Afrika Kusini na inasimulia hadithi kuhusu upendo na umoja kwa njia ya dansi, muziki na tamthilia.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Picha: Alama kama mishipa kwenye kando ya Mto Huanghe huko Henan, China
Onyesho la mitindo ya mavazi lafanyika kando ya Tamasha la 6 la Kimataifa la Dansi la China Xinjiang
Zaidi ya wasanii 1,000 waleta sanaa ya kale kwenye tamasha la dansi la Xinjiang
Sarakasi za kijadi zang'ara katika Mji wa Wuqiao, mkoani Hubei, Kaskazini mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma