Lugha Nyingine
Bustani ya wazi ya mabaki ya kihistoria yafungua eneo jipya kwa ajili ya umma huko Chengdu, China (2)
Bustani hiyo ya mabaki ya kihistoria imefungua eneo jipya kwa ajili ya umma siku ya Alhamisi huko Chengdu. Bustani hiyo iko katikati ya eneo la mji wa kale wa Chengdu. Tangu Mwaka 2013, wanaakiolojia wa China wamegundua sehemu kubwa yenye mabaki ya mji wa kale kutoka Mtaa wa Donghuamen hadi Kituo cha Michezo cha Chengdu katika Eneo la Qingyang la mji wa Chengdu, ukubwa wa sehemu iliyofukuliwa ilifikia mita za mraba 49,000, hasa ikihusisha mabaki ya Kipindi cha Mapigano ya Madola (475-221 KK), Enzi ya Qin (221-207 BC) na Enzi ya Han (202 BC-220 AD), Enzi za Sui na Tang (581-907), Enzi ya Song (960-1279) na Enzi ya Ming (1368-1644). (Xinhua/Shen Bohan)?
Sarakasi za kijadi zang'ara katika Mji wa Wuqiao, mkoani Hubei, Kaskazini mwa China
Mji wa Qingzhen wa China: Mandhari Nzuri ya Milima na Maziwa Yaonekana wazi
Katika Picha: Sao Tome na Principe yaadhimisha miaka 48 tangu kupata uhuru wake
Picha: Mandhari Nzuri ya eneo la msitu wa mawe wa Zecha huko Luqu, Kaskazini Magharibi mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma