Lugha Nyingine
Picha: Treni inayopitia shamba zuri la Maua ya Rape (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2023
(Picha ilipigwa na Xu Lingbo.) |
Hivi karibuni, maua ya rape kwenye shamba lenye ukubwa wa zaidi ya mu 10,000 (sawa na hekta 666.7) katika wilaya ya Shandan ya Mji wa Zhangye chini ya Mlima Qilian wa China yamechanua vizuri. Mandhari ya treni inayopitia kwenye shamba hilo kubwa la maua ya rape ni nzuri sana na huleta furaha kwa watu.
Reli hiyo ya Lanzhou-Xinjiang ina urefu wa kilomita 1,786, ikiunganisha mji wa Lanzhou wa Mkoa wa Ningxia na mji wa Urumqi wa Mkoa wa Xinjiang. Reli hiyo ndefu zaidi katika reli zilizojengwa kwa mara moja duniani husifiwa na watalii kuwa “reli nzuri zaidi”.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma