Lugha Nyingine
Treni ya Kitalii kutoka Harbin hadi Yichun nchini China yawapa abiria uzoefu mzuri wa burudani na kutazama mandhari (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2023
Mtaalam akiandaa chai ndani ya treni ya kitalii katika Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China, Juni 18, 2023. (Xinhua/Zhang Tao) |
Treni ya kitalii iliyobeba takriban abiria 200 imeondoka Harbin, Mji Mkuu wa Mkoa wa Heilongjiang, China siku ya Jumapili kuelekea "mji wa msitu" wa China Yichun katika Mkoa huo Heilongjiang. Treni hiyo inawapa abiria uzoefu wa kuburudika na kutazama mandhari ya kuvutia inapopitia misitu mingi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma