Lugha Nyingine
Mji wa Huzhou katika Mkoa wa Zhejiang, China wafanya juhudi katika kuhimiza ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2023
Watu wakifanya mazoezi ya opera ya Kichina katika Kijiji cha Yigao kilichoko Kitongoji cha Zhili, katika Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Juni 14, 2023. (Xinhua/Xu Yu) |
Ukiwa kando ya Ziwa Taihu, Kitongoji cha Zhili katika Mji wa Huzhou umefanya kila jitihada kuhimiza ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri kwenye ukingo wa kusini wa Ziwa Taihu baada ya kutekelezwa kwa Mpango wa Ustawishaji wa Kijani Vijijini katika Mkoa wa Zhejiang.
Kwa sasa, Mji wa Zhili umefikia maendeleo kamilifu ya ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri katika vijiji 34, na kujenga mandhari nzuri ya vijijini kando ya ukingo wa kusini wa Ziwa Taihu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma