久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Magari ya kifahari aina ya SUV kutoka China yavutia wapenzi wa magari wa Saudi Arabia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2023
Magari ya kifahari aina ya SUV kutoka China yavutia wapenzi wa magari wa Saudi Arabia
Picha iliyopigwa Januari 28, 2023 ikionyesha mtembeleaji akipigwa picha ndani ya gari la EXEED kwenye maonyesho huko Riyadh, Saudi Arabia. (Wang Haizhou/Xinhua)

RIYADH – Magari ya kifahari aina ya SUV kutoka China, yaliyokuwa yakioneshwa jukwaani kwenye shughuli iliyofanyika katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh siku ya Jumamosi, yamevutia wapenzi wa magari.

Gari la EXEED VX, ambalo ni bora lenye siti 7, linaleta uzoefu wa kipekee na urefu wa karibu mita 5 na msingi wa gurudumu wenye ukubwa wa karibu mita 3.

Shughuli hiyo pia ilishuhudia kuoneshwa kwa gari la EXEED TXL, aina ya SUV kwa pande zote, pamoja na EXEED LX, ambalo ni gari aina ya SUV ya kompakt lililoundwa mahususi kwa watumiaji vijana wanaofuata mitindo ya kisasa.

Kampuni inayounda magari ya China imesema, Modeli za magari ya EXEED 2023 zimezinduliwa hivi majuzi katika nchi hiyo ya kifalme, zinafaa kwa hali ya hewa ya Saudi Arabia na zina mifumo mipya ya sasa ya ulinzi na usalama. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>