久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kenya yapokea watalii 3,000 waliowasili kwa meli za utalii ndani ya miezi miwili

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2023
Kenya yapokea watalii 3,000 waliowasili kwa meli za  utalii ndani ya miezi miwili
Picha hii ikionyesha meli ya utalii ikiwa kwenye Bandari ya Mombasa nchini Kenya, Desemba 25, 2022. (Picha na Dihoff Mukoto/Xinhua)

NAIROBI - Kenya imepokea watalii 3,000 waliowasili kwa meli za utalii za kimataifa katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, afisa wa serikali alisema siku ya Alhamisi.

John Ololtuaa, Katibu Mkuu katika Wizara ya Utalii ya Kenya, amesema kuwa Kenya inanufaika kutokana na maendeleo ya miundombinu katika kituo kipya cha meli kilichoboreshwa katika Bandari ya Mombasa ambacho kimesaidia eneo hilo ambalo ni kivutio kwa watalii kuwa sehemu ya utalii wa meli.

"Meli mbili zaidi zinatarajiwa kufika bandarini kabla ya mwisho wa robo hii," Ololtuaa amesema baada ya kupokea wageni 800 na wafanyakazi wa meli ya MV World Odyssey katika Bandari ya Mombasa ya Kenya.

Ololtuaa amesema uendelezaji wa kituo hicho ulikuwa muhimu huku wapangaji zaidi wa usafiri wa meli za utalii sasa wakiilenga Kenya ndani ya ratiba zao.

Pia amesema kuwa kurejea kwa meli ya MV World Odyssey ni ushahidi wa ushawishi wa Kenya kwa wasafiri wa kimataifa.

"Hiki ni ishara ya wazi ya kuongezeka kwa maslahi ya mashirika ya utalii katika eneo letu na hasa ukanda wa pwani ambao ni sehemu muhimu ya bidhaa ya utalii ya Kenya," ameongeza.

Ololtuaa amesema, Kenya soko la usafiri wa meli za utalii litakuwa kama sehemu ya mkakati wa kutangaza na kuendelesha shughuli za utalii nchini humo.

Ameelza kuwa watalii wa meli za utalii ni sehemu muhimu ya shughuli za utalii kutokana na matumizi yao makubwa ambayo yameleta mapato ya ziada muhimu kwa eneo la utalii , na utalii wa meli za utalii ni soko la thamani kubwa ya mabilioni ya dola, haswa kwa maeneo ambayo yamewekeza zaidi kwenye miundombinu husika pamoja na kutangaza maeneo yao duniani kote.

John Chirchir, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Utalii ya Kenya, amesema kuwa kurejea kwa MV World Odyssey nchini Kenya kunaonyesha kuwa eneo hilo lina fursa za utalii zinazomfaa kila mgeni anayefika nchini humo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>