久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Nchi nyingi za “Ukanda Mmoja, Njia Moja” zashiriki kwenye Maonesho ya Saba ya Bidhaa za Utamaduni ya Sanya (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2023
Nchi nyingi za “Ukanda Mmoja, Njia Moja” zashiriki kwenye Maonesho ya Saba ya Bidhaa za Utamaduni ya Sanya
Bidhaa za kauri zilizotengenezwa kwa mikono zikioneshwa kwenye banda la eneo la biashara huria la Iran. (People’s Daily/Niu Liangyu)

Asubuhi ya Tarehe 30, Disemba, 2022, Maonyesho ya Saba ya Kimataifa ya Bidhaa za Utamaduni ya Sanya yaliyofanyika kwa siku 4 yalifunguliwa kwa shangwe kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Hongshulin mjini Sanya, China, ambapo kampuni kutoka nchi na maeneo 32, na kampuni za utalii na utamaduni zaidi ya 260 kutoka nchini China zimeshiriki pamoja kwenye maonesho hayo, zikionesha bidhaa za utalii na utamaduni zaidi ya 40,000.

Katika mabanda ya nchi na maeneo hayo 32, kuna nchi zimeshiriki zikiwemo Nepal, Yemen, Indonesia, Pakistan, Afghanistan, Iran, Mongolia na nchi nyingine zinazoshiriki kwenye “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Kampuni kutoka sehemu hizo zimetoa bidhaa zao zinazopendwa zaidi, ambazo zilivutia wakazi na watalii kutazama na kununua.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>