久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kampuni za Zhejiang, China kwenda nchi za nje kupata oda na marafiki mapya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2022
Kampuni za Zhejiang, China kwenda nchi za nje kupata oda na marafiki mapya
(Picha ilitolewa na wahojiwa.)

Siku hizi, kampuni mbalimbali za Zhejiang, China zilituma ujumbe kwenda nchi za nje kwa ajili ya kujipatia oda, ujumbe wao umerudi China mfululizo. Baada ya kuwahoji wafanyabiashara hao, mwandishi wa habari aliona kuwa, siyo tu wameleta oda zenye thamani kubwa, bali pia wamepanua eneo la kushirikiana, na kupata mpango mpya kwa mustakabali wao.

Kuanzia tarehe 4 hadi 11, Desemba, naibu mkuu wa Idara ya Biashara ya Mkoa wa Zhejiang Chen Zhicheng aliongoza kikundi cha kwanza cha “makundi ya Kampuni za Zhejiang kwenda nchi za nje kujipatia oda” kutembelea Ujerumani na Ufarasan. Alipozungumzia safari hiyo, Bw. Chen alisema, matunda yao ya moja kwa moja ni oda. Kwa jumla mara hiyo kampuni 31 za Zhejiang zilishiriki kwenye maonyesho ya viungo vya vyakula na raslimalia zinazosaidia afya huko Ulaya, ambapo makubaliano ya biashara yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 152 yalifikiwa (pamoja na makubaliano ya awali).

Meneja wa biashara wa Kampuni ya Mavazi ya Shanhui ya Mji wa Jiangxing, Zhejiang Hua Yifan alimwambia mwandishi wa Habari kuwa, “tulishiriki kwenye maonyesho ya Japan, na kupokea kadi za kujitambulisha zaidi ya 20. Licha ya hayo, tumekutana na wateja wengi wapya na kujadiliana na wateja kadhaa kuhusu nia ya kushirikiana.”

“Wateja na masoko vyote vimebadilika, kwa hivyo lazima tufuate bila ya kusita,” alisema Yang Yang, naibu meneja wa uuzaji wa kampuni ya Jianhua Haijie ya Zhejiang, ambapo alikuwa ametembelea wateja huko Doha, Qatar.

Chen Zhicheng alijulisha kuwa, katika mwaka ujao, miji mbalimbali ya Zhejiang itahimiza makundi mbalimbali ya kampuni kwenda nchi za nje. Inakadiriwa kwa jumla makundi ya kampuni ya kwenda nchi za nje kupanua soko yatazidi 1000, yakihusu kampuni zaidi ya 10,000.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>