Lugha Nyingine
Dainaso yatembelea ukumbi wa mkutano wa COP15
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2022
“Mgeni maalum” wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Dainaso Frankie akionekana kwenye ukumbi wa Mkutano wa Anuwai ya Viumbe wa Umoja wa Mataifa (COP15) uliofanyika huko Montreal, Canada, Desemba, 2022. (Picha ilipiga na Yu Ruidong/ChinaNews)
UNDP ilileta dainaso bandia kwenye ukumbi wa mkutano wa COP15, ili kuwahimiza viongozi duniani kote kuchukua hatua nyingi zaidi za kukabiliana na changamoto za tabianchi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma