久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Tamasha la Utamaduni wa China lafanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya jijini Nairobi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2022
Tamasha la Utamaduni wa China lafanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya jijini Nairobi
Mwanafunzi wa Kenya akitumbuiza Kongfu ya Kichina kwenye tamasha la Utamaduni wa China lililofanyika kwenye Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya jijini Nairobi, Kenya Novemba 28, 2022.

Likiwa limeandaliwa na Ubalozi wa China nchini Kenya, Kituo cha Utamaduni cha Kenya na Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi tamasha lenye maudhui ya opera ya Kichina limefanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya siku ya Jumatatu jijini Nairobi. Shughuli mbalimbali ziliwawezesha waliohudhuria kuwa na uelewa bora wa opera ya Kichina na kupata haiba ya utamaduni wa jadi wa China. (Xinhua/Li Yahui)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>