Lugha Nyingine
Tamasha la Utamaduni wa China lafanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya jijini Nairobi (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2022
Wanafunzi wa Kenya wakitumbuiza opera ya jadi ya Kichina kwenye tamasha la utamaduni wa China lililofanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya jijini Nairobi, Kenya, Novemba 28, 2022. (Xinhua/Li Yahui) |
Likiwa limeandaliwa na Ubalozi wa China nchini Kenya, Kituo cha Utamaduni cha Kenya na Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi tamasha lenye maudhui ya opera ya Kichina limefanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa Kenya siku ya Jumatatu jijini Nairobi. Shughuli mbalimbali ziliwawezesha waliohudhuria kuwa na uelewa bora wa opera ya Kichina na kupata haiba ya utamaduni wa jadi wa China. (Xinhua/Li Yahui)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma