Lugha Nyingine
Uchumi wa Uingereza wapungua kwa 0.2% katika robo ya tatu ya mwaka (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2022
Tarehe 13 Novemba, watu walipita duka linalotaka kukodishwa huko Basingstoke, Uingereza. (Mpiga picha: Tim Ireland/ Shirika la Habari la China, Xinhua) |
Takwimu zilizotolewa na Idara ya Taifa ya Takwimu ya Uingereza zilionesha kuwa Pato la Taifa la Uingereza katika robo ya tatu ya mwaka huu lilipunguza kwa asilimia 0.2 ikilinganishwa na ile ya kipindi kama hicho mwaka uliopita, na Pato la Taifa la Mwezi Septemba ilipunguza kwa asilimia 0.6 ikilinganishwa na ile ya kipindi kama hicho mwaka uliopita.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma