Lugha Nyingine
“Ladha ya Afrika” katika Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2022
Picha iliyopigwa tarehe 7, Novemba ikionesha maparachichi kutoka Kenya kwenye eneo la chakula na mazao ya kilimo la Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE). |
Kwenye eneo la chakula na mazao ya kilimo la Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), kawaha ya Ethiopia, mvinyo ya Afrika Kusini na maparachichi ya Kenya na bidhaa nyingine kadha wa kadha kutoka bara la Afrika zinaonekana kwenye rafu, zikileta “l(fā)adha ya Afrika” inayowavutia Wachina. (Xinhua/Liu Ying)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma