Lugha Nyingine
Matunda ya pitaya ya Mji wa Dongfang, Hainan yavunwa (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2022
Oktoba 18,mfanyakazi akichuma matunda ya pitaya katika kituo cha upandaji wa matunda ya pitaya cha Mji wa Dongfang, Mkoa wa Hainan. |
Siku hizi, kituo cha upandaji wa matunda ya pitaya cha Mji wa Dongfang, Mkoa wa Hainan kimeingia kwenye kipindi cha mavuno, ambapo hali ya pilikapilika za kuvuna inaonekana kwenye mashamba. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Dongfang umechukua hatua zinazofaa kwa kufuata hali halisi ya huko, ukijenga kituo cha upandaji wa matunda ya pitaya kwa mawazo ya maendeleo ya kupanda kwenye mashamba makubwa, kusimamia kwa vigezo na kuwa na ushawishi wa chapa, ambapo sasa uzalishaji wa matunda ya pitaya umekuwa nguzo muhimu ya kilimo cha huko.
(Mpiga picha: Pu Xiaoxu/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma