Lugha Nyingine
Maonesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China itafanyika Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2022
Oktoba 15, wafanyakazi wa bustani wakifanya kazi ya mapambo ya maua katika uwanja wa kusini wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonesho huko Shanghai. |
Kazi ya mapambo nje ya Kituo cha cha Kitaifa cha Mikutano na Maonesho kilichoko Shanghai inaendelea ili kukaribisha Maonesho ya tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China itakayofanyika Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10.
(Mpiga picha:Fang Zhe/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma