Lugha Nyingine
Volkano ya Stromboli ya Italia yalipuka (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2022
Oktoba 9, Mwaka 2022 kwa saa za huko, Volkano ya Stromboli kwenye kisiwa cha Stromboli nchini Italia ililipuka, na moshi mzito na kiasi kikubwa cha lava zimetoka. Kwa sasa hakuna majeruhi au uharibifu wa mali kuripotiwa. Volkano ya Stromboli ni mojawapo ya volkano zinazofanya kazi zaidi duniani.(Picha na IC photo) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma