Lugha Nyingine
Uuzaji wa vifaa vya kutoa joto wa Foshan, China kwa Umoja wa Ulaya waongezeka kwa kasi (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2022
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye mstari wa uzalishaji wa vifaa vya umeme vya kutoa joto kwenye kampuni moja ya Foshan, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China tarehe 29, Septemba, 2022. |
Kuanzia mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, Foshan imeziuzia nchi za Umoja wa Ulaya vifaa vya kutoa joto vyenye thamani ya Yuan milioni 94 (sawa na Dola za Marekani laki 1.32), ambayo imeongezeka kwa asilimia 154.4 ikilinganishwa na wakati huo wa mwaka uliopita. (Huang Guobao/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma