Lugha Nyingine
Vitoto vya panda vya Kituo cha Panda cha Chengdu vyaonekana kwa pamoja ili kukaribisha sikukuu ya taifa ya China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2022
Ili kukaribisha sikukuu ya taifa ya China itakayowadika, vitoto vilivyozaliwa Mwaka 2022 vya Kituo cha Panda cha Chengdu walionekana katika chumba cha kuzaliwa cha mwangaza wa jua.
Wafugaji panda waliweka vitoto vya panda kwenye jukwaa na kuwawekea kuwa umbo la nambari "73", wakitumia njia hiyo ya kipekee kukaribisha Sikukuu ya Taifa ya China itakayowadika na kulitakia taifa ustawi na mafanikio. (Picha na Kituo cha Ufugaji wa Panda cha Chengdu )
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma