Lugha Nyingine
Kipchoge kutoka Kenya aweka rekodi mpya duniani katika mbio ya Marathon ya Berlin
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2022
(Picha inatoka CFP.)
Jumapili ya wiki iliyopita, Eliud Kipchoge kutoka Kenya aliweka rekodi mpya ya dunia ya saa 2 na dakika 1 na sekundi 9, akawa bingwa kwenye mchezo wa 48 wa mbio ya Maratho ya Berlin.
Mkenya huyu mwenye umri wa miaka 37 alifanya vizuri sana, ambapo aliongoza kwenye mbio nzima, na kuboresha rekodi yake ya 2018 kwa sekundi 30.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma