久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wizara ya Biashara ya China yasema ugavi wa mahitaji muhimu ya kila siku ya China kwa ujumla ni wa kutosha

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022

Mfanyakazi akipanga mboga kwenye supamaketi ya Jiamei katika Mji wa Suzhou, Mkoa wa Anhui nchini China, Julai 4, 2022. (Xinhua/Huang Bohan)

BEIJING – Ofisa wa Wizara ya Biashara ya China amesema Alhamisi kuwa, ugavi wa soko wa mahitaji muhimu ya kila siku ya China kwa ujumla unatosha, pamoja na kuyumba kwa bei kidogo.

“Bei za jumla za nafaka, nyama za nguruwe, mayai na mboga zilipanda kwa asilimia 0.4, asilimia 1.4, asilimia 4 na asilimia 6.2, katika wiki ya kutoka Agosti 22 hadi Agosti 28, ikilinganishwa na wiki ya kwanza ya Agosti,” msemaji wa wizara hiyo Shu Jueting aliuambia mkutano na waandishi wa habari.

Nyama za ng’ombe na matunda vilikuwa na bei ya chini huku bei za mafuta ya kupikia na nyama za kondoo zikibaki bila kubadilika katika kipindi hicho.

Shu amesema, wakati ambapo sherehe za Siku ya Tarehe 15 ya Mwezi wa 8 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo inaitwa pia sikukuu ya mbalamwezi ya jadi ya China zikikaribia, wizara hiyo itafuatilia kwa karibu ugavi na bei za bidhaa muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa mahitaji muhimu sokoni.

"Nyama za nguruwe, ng'ombe na kondoo zilizogandishwa zitatolewa sehemu sehemu kutoka kwenye akiba kuu ya China ili kuongeza ugavi wa nyama wakati wa likizo ijayo," msemaji huyo ameongeza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>