Lugha Nyingine
Michezo inayofanyika kwenye maji yaonesha mvuto wa “mali ya urithi wa utamaduni usioshikika” huko Rongjiang, Guizhou
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2022
Agosti 25, 2022, Maonesho ya 10 ya Michezo ya Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou yalifanyika katika Wilaya ya Rongjiang ya Tarafa inayojiendesha ya Wamiao na Watong ya sehemu ya kusini mashariki mwa mkoa wa Guizhou. Timu ya kuendesha mashua yaliyotengenezwa kwa mwanzi mmoja ilicheza michezo na kuonesha mvuto wa “mali ya urithi wa utamaduni usioshikika” za Mkoa wa Guizhou. (Mpiga picha: Yang Chengli/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma