Lugha Nyingine
Magofu ya 'jumba kubwa' ya miaka 1,200 iliyopita yagunduliwa kusini mwa jangwa la Israeli
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 25, 2022
Picha hii ikionesha magofu ya “Jumba Kubwa la Kifahari ” la zama za kale yaliyofukuliwa katika eneo la jangwa la Negev, kusini mwa Israeli.(Picha na droni) |
Idara ya Mabaki ya Kale ya Utamaduni ya Israeli ilitoa taarifa tarehe 23 ikisema kuwa watafiti wa mabaki ya kale walifukua magofu ya “Jumba Kubwa la Kifahari” la zama za kale lililojengwa katika miaka 1200 iliyopita.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma