久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Magari ya nishati mpya ya China yaongoza soko la kimataifa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2022
Magari ya nishati mpya ya China yaongoza soko la kimataifa
Mfanyakazi akifunga vipuri vya magari ya nishati mpya kwenye kiwanda kikuu uundaji wa magari kwenye Eneo la viwanda la Caotang la BYD huko Xi’an, China. (Picha/Xinhua)

Takwimu zilizotolewa siku hizi na kampuni ya BYD zinaonesha, uuzaji wa magari yanayotumia nishati mpya wa kampuni hiyo katika nusu ya kwanza ya mwaka huu umezidi laki 6.4. Hali hiyo inamaanisha BYD imeshinda Tesla na kuwa kampuni ya uundaji wa magari ya nishati mpya ambayo uuzaji wake ni mkubwa zaidi duniani.

Katika miaka ya hivi karibuni, kampuni za magari za China zinapanua soko lake nje ya nchi kwa hatua madhubuti kwa kutegemea nguvu yake halisi. Kutoka Ulaya hadi Mashariki ya Kati na Lating Amerika, magari ya nishati mpya ya China yamenunuliwa vizuri katika nchi nyingi zaidi, na siyo tu yamehimiza hali ya kubana matumizi ya nishati na kupunguza utoaji wa gesi katika nchi hizo, bali pia yametoa fursa kwa mawasiliano kati ya viwanda vyao vya magari.

Baada ya BYD kuanzisha kampuni yake ndogo nchini Uingereza mwaka 2012, kampuni hii ilishirikiana na kampuni ya mabasi ya Alexander Dennis (ADL) ya nchi hiyo, ambapo zimeleta bidhaa zenye uvumbuzi kwa nchi hiyo na nchi nyingine. Meneja mkuu wa kampuni ya ADL Paul Davies alisema, kampuni ya ADL na ya BYD zilishirikiana kuunda mabasi zaidi ya 1000 kwa soko la Uingereza kuanzia mwaka 2016; na kiasi hicho kinatazamiwa kuzidi 1500.

Wadau wengi wanaona kuwa, viwanda vya magari ya nishati mpya vya China vinaendelea kwa kasi, na nguvu yake ya ushindani inazidi kuwa kubwa siku hadi siku. Kampuni za China zinaelekea kipindi kipya cha fursa ya kihistoria katika mashindano ya kuunda magari ya nishati mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>