Lugha Nyingine
Bandari ya Victoria ya Hong Kong yaadhimisha siku ya kurudi China kwa Hong Kong (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2022
Wakati wa usiku wa tarehe 29, Juni, majumba yote ya kando mbili za Bandari ya Victoria ya Hong Kong yaliwasha taa na kuangaza sehemu zote usiku huo, na mapambo ya taa ya kuadhimisha miaka 25 ya kurudi China kwa Hong Kong kwenye kuta za majengo mbalimbali yalivutia sana. (Picha/ChinaNews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma