Lugha Nyingine
Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Tarehe 22, Juni, 2022, ngalawa za dragon zikishindana kwenye mto wa Qingshui huko Shiping, Mkoa wa Guizhou wa Kusini Magharibi mwa China, ili kusherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon. |
Watu wa kabila la Wamiao wanasherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon ya kikabila kwa ajili ya kuomba hali nzuri ya hewa na mavuno. (Picha/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma