Lugha Nyingine
Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Tarehe 22, Juni, 2022, watu wa kabila la Wamiao wakishiriki kwenye michezo ya sikukuu ya ngalawa za dragon kwenye mto wa Qingshui wa Wilaya ya Shiping, Mkoa wa Guizhou. |
Watu wa kabila la Wamiao wanasherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon ya kikabila kwa ajili ya kuomba hali nzuri ya hewa na mavuno. (Picha/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma