Lugha Nyingine
Jumba la China lang'ara katika Maonesho ya Kimataifa ya Dubai (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2022
Watoto wa huko wakitoa salamu za Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa watalii waliotembelea Bustani ya Maonesho ya Kimataifa ya Dubai Januari 31, 2022. |
Maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Dubai yalifungwa Machi 31 jioni na Jumba la maonesho la China ambalo jina lake ni “mwanga wa China” pia lilifungwa rasmi. Kwa mujibu wa habari, Jumba la China ni moja ya majumba maarufu kabisa kwenye Maonesho hayo ya Kimataifa ya Dubai na lilipokea watembeleaji zaidi ya milioni 1.76 wakati wa maonesho hayo. Pia lilijenga na kuendesha kwa mara ya kwanza “Jumba la China kwenye mtandao” na limevutia kwa jumla watu milioni 1.45 kutazama kwenye mtandao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma