Lugha Nyingine
Jumba la China lang'ara katika Maonesho ya Kimataifa ya Dubai (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2022
Muonekano wa maonesho ya kuimba na kucheza ngoma kwenye hafla ya siku ya Jumba la china kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Dubai. Picha ilipigwa Januari 10, 2022. |
Maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Dubai yalifungwa Machi 31 jioni na Jumba la maonesho la China ambalo jina lake ni “mwanga wa China” pia lilifungwa rasmi. Kwa mujibu wa habari, Jumba la China ni moja ya majumba maarufu kabisa kwenye Maonesho hayo ya Kimataifa ya Dubai na lilipokea watembeleaji zaidi ya milioni 1.76 wakati wa maonesho hayo. Pia lilijenga na kuendesha kwa mara ya kwanza “Jumba la China kwenye mtandao” na limevutia kwa jumla watu milioni 1.45 kutazama kwenye mtandao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma