Lugha Nyingine
Treni ya Mji wa Chongqing yapita katikati ya bahari ya Maua katika majira ya mchipuko (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 17, 2022
(Picha inatoka tovuti ya People's Daily Online.) |
Katika siku chache zilizopita, hali safi ya hewa imetokea kwenye eneo la katikati mwa Mji wa Chongqing, China. Maua yaliyoko pembezoni mwa kituo cha Fotuoguan cha reli No. 2 ya Mji wa Chongqing yamechanua moja baada ya lingine, na kuchanua huko kwa maua kumeleta uzuri usiyo na kifani. Treni ya reli hiyo ya No.2 inapita katikati ya bahari ya maua, inaonekana kama vile ni treni ya kuelekea majira ya mchipuko, na kuleta mandhari nzuri katika mji huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma