<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Msanii wa Hebei, China atengeneza sanaa za uchongaji kwenye magamba ya mayai

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 04, 2022
    Msanii wa Hebei, China atengeneza sanaa za uchongaji kwenye magamba ya mayai
    (Picha ilipigwa na Lv Minghui/Chinanews)

    Ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China, msanii wa Mkoa wa Hebei, China Huo Guangjian alitengeneza Sanaa za mfululizo za uchongaji kwenye magamba ya mayai zinazoitwa “Dong’ao” (neno la Kichina, maana yake ni Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi) na “Fu’hu” (maana yake ni chuimilia anayeleta Baraka). Msanii huyu akitengeneza Sanaa hizo kwa kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China wa chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China, huku akieleza matarajio yake kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kutumai michezo hiyo ipate mafanikio mazuri.

    Sanaa hii ya uchongaji kwenye magamba ya mayai ni Sanaa ya mikono ya kienyeji katika sehemu mbalimbali nchini China. Sanaa hiyo inatengenezwa kwa kutumia mayai ya kuku au mbuni kwa kupitia ustadi mbalimbali.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av