Lugha Nyingine
Ujenzi wa kumbi na miundombinu wezeshi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamalizika (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2021
Kwa mujibu wa habari kutoka Ofisi ya Uongozi wa Ujenzi wa Miradi Mikubwa ya Beijing, ukarabati wa uwanja wa michezo wa taifa “kiota cha ndege”ambao utatumika kwa hafla za ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing umekamilika Alhamisi ya wiki hii. Ujenzi wa kumbi na miundombinu wezeshi ya mashindano ya michezo hiyo nao umemalizika rasmi. (Picha zimepigwa na Zhang Chenlin/Tovuti ya shirika la habari la China, Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma