Lugha Nyingine
Tufani ya "Bikari" yafika mkoa wa Hainan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2021
Mchana wa jumatano wiki hii, tufani ya No.18 ya mwaka huu ya "Bikari" ilifika Hainan, ambao ni mkoa wa visiwa wa kusini mwa China. Kasi ya tufani hiyo imefikia kilomita 118.8 kwa saa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma