Lugha Nyingine
Jukwaa la Maua Lenye Kaulimbiu ya “Libariki Taifa Letu” lawa kivutio kwenye Uwanja wa Tian An Men (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2021
Jukwaa la maua lenye kaulimbiu ya “Libariki Taifa Letu” kwenye Uwanja wa Tian An Men wakati wa usiku (Picha ilipigwa tarehe 27, Sep.) |
Siku hizi, jukwaa la maua lenye kauli mbiu ya “Libariki Taifa Letu” linalopambwa kwa ajili ya kukaribisha sikukuu ya taifa ya China kwenye Uwanja wa Tiananmen, limekuwa kivutio kinachovutia watalii wengi kuja kutembelea na kupiga picha kila siku.
Mpiga picha wa Shirika la Habari la China Xinhua, Li Xin
(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma